Makala haya yanapatikana pia kwa Kiingereza Afrika ni bara lenye utajiri wa lugha, lakini lugha zake nyingi zinakabiliwa na hatari ya kutoweka kutokana na utandawazi, ukuaji wa miji, na utawala wa lugha za kikoloni. Ingawa Kiingereza, Kifaransa, na Kireno zinaendelea kutumika kama lugha rasmi katika mataifa mengi ya Kiafrika, lugha za kiasili mara nyingi zinatatizika kupata nafasi katika elimu, teknolojia,…
